📢 Karibuni sana Kamisheni ya Wakf na Mali ya Amana, kwa huduma bora za Wakf/Amana, Mirathi, Zakka na Misada📢 Mahujaji wote watarajiwa wanahitajika kujisajili kwa wakati ili kukamilisha Mashart yalowekwa na Wizara ya Hijja ya Saudia
Mission
Kuhakikisha usimamizi bora wa mali za Wakf na Trust kwa uwazi, uadilifu na matumizi sahihi kwa manufaa ya jamii.
Vision
Kuwa taasisi bora ya mfano katika usimamizi wa mali za Wakf kupitia mifumo ya kidigitali kama WAMIS.